🎵
Lyricaa

Rapcha - OBSESHEN Lyrics

Uncover the story behind Rapcha's song 'OBSESHEN'. Each song tells a unique story, and Rapcha - OBSESHEN is no exception. Browse the lyrics here and connect with the song on a new level. Whether you're listening for the first time or revisiting your favorite lines, the lyrics are right at your fingertips.
Explore the Meaning of Rapcha - OBSESHEN Lyrics
      

OBSESHEN
by Rapcha

Mh

 Temptation

 Vitamu vingi hunipa temptation

 Baby we hupaga mimi temptation

 Kutapatapa hii ni obseshen

 I can pull up any location

 Soon as utaponipa direction

 Baby we hupaga mimi temptations

 Yani unanipaga mingi temptations


Last night ilikua interesting

 In the house niko VIP section

 Shawty kaja nipa Hi na her bestfriend

 Nafungua mikono anikumbate, next thing

 Kanikumbatia nikapapasa waist

 Masukudi nione kama atani’question

 Shawty hakumind mi ku count waist beads

 Nikajua tayari yuko interested

 Exchange number nikatype real quick

 Maybe tunaweza kukutana next week

 Jibu kanipa kwa facial expression

 Sikuhitaji mambo yawe complicated

 Nikamuuma sikioni

 Vipi tuki sneak mbezi Beach tundondoke home

 Shawty akaniambia don’t worry

 Kesho siku nzima yuko off and yuko really on it


Mh

 Temptation

 Vitamu vingi hunipa temptation

 Baby we hupaga mimi temptation

 Kutapatapa hii ni obseshen

 I can pull up any location

 Soon as utaponipa direction

 Baby we hupaga mimi temptations

 Yani unanipaga mingi temptations


Amevaa outfit ya doller 500 ila bado

 Nikimtazama mi namuona naked

 Nikamshika mkono tukaiacha party macho yote kwetu

 Body yake ikiwa celebrated

 Dakika 15 tuko nje ya gari tumekutanisha lips

 Tuna meza mate na kuspit

 Mikono iko busy na her body parts anafeel kila pinch

 Hamna kitu anachoweza ku resist

 Damu ni Usain Bolt inavyochanganya kwata

 Shawty akanishusha trouser nikaelewa kinachofata

 Akakishukia kipaza hata kabla hajaanza ku perform

 Tunaskia hatua ka’ kuna mtu anatufata

 Kumbe Shawty mboga 7 leo katoroka home

 Baada ya kusikia 99 leo wanaperform

 Baba ake kaibuka hadi kiwanja kumfata

 Bahati nzuri nlichomoka fasta akambeba shawty akampeleka home

 But I don’t mind

 I don’t mind

 Tushapeana phone namba zetu long time

 Afu nkakumbuka kwamba kesho aliniambia yuko off and yuko really on it


Mh

 Temptation

 Vitamu vingi hunipa temptation

 Baby we hupaga mimi temptation

 Kutapatapa hii ni obseshen

 I can pull up any location

 Soon as utaponipa direction

 Baby we hupaga mimi temptations

 Yani unanipaga mingi temptations


Whine whine pon it nipe motivation

 Moti moti moti motivation

 Whine pon it gimmie motivation

 Moti moti moti moti moti moti moti  

    

Song: OBSESHEN

Artist: Rapcha

Listen on:

YOU MIGHT ALSO LIKE