Discover the lyrics to
Rapcha - DONT PLAY THIS SONG. Looking for the lyrics to this track? We’ve got them right here! Explore the words behind
Rapcha - DONT PLAY THIS SONG, and feel free to take your time as you read through the song's lyrics.
DONT PLAY THIS SONG
by Rapcha
feat. Leysir Brown
Verse 1
Smoking everyday hoping I will die sober
Wallet haijashiba and na nna get much older
Dunia haina mwenyewe so kataa uoga
All ass kissers don’t play this song
Straight up
Success haiwi overnight
Ndoto niliyonayo kubwa ila I’m sure haiko oversize
Ingawa huu ni mziki wa kidunia hata huyo
Shetani asingeweza rap hivi, On God
Ndoto yangu kubwa kabla ya kutamani nyumba na magari nlitamani kuiona Mbingu
Mungu akanibariki vingi zaidi ya nyumba na magari na akafanya nkiwa duniani nikaiona Mbingu
Safina ikirudi mara ya pili sijui kama hata ntapata nafasi
Wenye nafasi wamejaa ubinafsi
Binafsi wanangu ntawakumbusha kila asubuhi
Wasitumie pesa kutafuta vitu ambavyo pesa hainunui
Iwe normal tu kusema hapana
Tena of course tunaingia sana hasara kwa kukwepa lawama
Tena mostly kwa kufurahisha wana
So ukiona sijawahi kuku’impress don’t play this song
Cosmas P
Kila nilichokosa shule nakipata kwenye kila conversation na P
Nikihema juu ya beat ni Hit
Ukali wangu upo kwenye ngoma zangu ambazo huzizingatii
Chorus: Leysir Brown
Sina time ya mchezo Mr devil leo haunipati
Sitaki kujieleza, sina tena mpango wa kupoteza wakati
Macho kwenye pay I’m on a mission
Bado siwezi relax
Macho kwenye pay
Mishe mishe ziko macho day and night
Uuuh uuh
Uuhh uuh
Uuuh uuh
Uuhh uuh
Verse 2
MVP kwenye pitch I’m a real star
Sense in everything I spit kwenye each bar
‘ucking this game na style zote linakaa
Hawa Polisi hawaleti peace wanatunyima raha
Niwe faraja kwenye vilio
Mi sihitaji kuwa maarufu nahitaji tu dunia nzima inipe sikio
So ukihisi Mfoy anatafuta ustaa social media wala usipoteze mb don’t play this song
Na ntapiga billion streams muda ambao wote mtapagawa
Mkiwa busy kuwalea machawa
Busy mkijiuliza tu kwanini wasanii hawapatani
Wakati swali linatoka kwa wanaowagawa
Hamna power
Mziki umechange my story
Sitosahau siku Father P ananipa deal ya over 20 milli
Kila siku mpya naongezeka akili sio mwili
Big shoutout whoever play my songs
Nnavyozidi kwenda juu nazidi kuwa mpweke tu
Sometimes nacheka mbele ya camera tu
Sometimes huwa nacheka ili tu nifiche yanayonisibu
But only God knows what I’m going thru
Drinking everyday, hoping i will die sober
Iwe normal tu kusema sitaki
Binafsi wanangu ntawakumbusha kila asubuhi
Wasitumie pesa kutafuta vitu ambavyo pesa hainunui
hook: Rapcha
Winning everything i win i win i win
Win i win i win i win win i win
I win i win i win i win i win i win i win
Song: DONT PLAY THIS SONG
Artist: Rapcha
Listen on: