Explore the lyrics to '
Body' by
Isaad. If you're here to dive deeper into the song’s meaning, you've come to the right place! Here, you’ll find the full lyrics to
Isaad - Body, so you can sing along, analyze the words, or simply enjoy the music in a whole new way.
Body
by Isaad
Chorus
I just wanna give you some
Baby, let me give you some
Yani kila kona
Unachofanya ni haramu
Yani mambo ni matamu
Umenipa homa
Verse 1
Usiku kucha nakumiss
Ninamiss unavokiss
Ona ninakonda
Fanya kama unanibipu yani kimakosa
(Nitapigaga)
Pre-Chorus
And I’ll touch touch body
Njoo karibu near nami
Tupo nnje ya wakati
Shika ukuta unipe basi
Majirani nevermind them
Tupo mimi wewe darling
Sina hofu wasiwasi
Shika mwili moyo nafsi
Chorus
Get down dirty dirty whine it
Haters never done it like this
Bana eh, tutaomba radhi
Wala mami usijali
Nishafika, niandame
Ukinishika, nitazame
Kuwa nawe sio kazi
Nishafuta mishangazi
Verse 2
Na wengine sijawai siwajui
Natamani niwe nawe, haujui
Nachotaka, nikikupata
Pakikucha nauhakika utanikata
Jina langu mimi niite honey
Mjini ndio dili sipatikani
Akili yangu mimi unayo kwani
Unayo kwani
Pre-Chorus
And I’ll touch touch body
Njoo karibu near nami
Tupo nnje ya wakati
Shika ukuta unipe basi
Majirani nevermind them
Tupo mimi wewe darling
Sina hofu wasiwasi
Shika mwili moyo nafsi
Chorus
Get down dirty dirty whine it
Haters never done it like this
Bana eh, tutaomba radhi
Wala mami usijali
Nishafika, niandame
Ukinishika, nitazame
Kuwa nawe sio kazi
Nishafuta mishangazi
Outro
Eeh
Mmh
Mmh
As we wrap up our lyrical escapade, share your thoughts on the echoes that resonated with you in
Body by Isaad. Music unites us, and your reflections add to the melody. Stay tuned for more musical discoveries!